Lets Get Together
JF-Expert Member
- Nov 26, 2019
- 258
- 431
Wanaboa sana aseehiyo ngumi ya kichwa
Wapuuzi kabisa hawaIT wakijikinga na corona!
Labda mfano salio lako ni 1500, ila kiwango cha songesha ni 28000. Jitumie kwenye line yako labda ya tigo 29000.
Hyo inaitwa push to start mkuu! [emoji23][emoji23]Aiseeee yamenikuta na mimi leo...
Aiseee inakera sana sanaHyo inaitwa push to start mkuu! [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Unatambaa na ukali tu au sio mkuuMi huwa nasajili line nawapiga songesha kisha natupa