Hawa Vodacom yani ukiacha salio hata uzime simu ukija kucheck balance utakuta wamekata ukiwauliza watakupa sababu kibao yani ni wezi hatari.
Sasa kali zaidi wanakifuruhsi chao kinaitwa Dar Super University yani zile sunaelection zinabadirika kila ukirudia ya kwanza inakuwa ya pili ya pili inakuwa ya tatu au nne ya nne ya kwanza na hii muda mwingine wanaifanya kila ukirudia sasa wewe ukiwa ushakalili kuwa unajiunga bundle mfano ya 2 unabonyeza husubiri msg unafungua bundle kumbe unaliwa bila kujua
yani hii inatokea kila ukirudia na ukienda mbele mara cha buku tano ndiyo krudi cha kwanza.
Halafu hata uchague selection unayohitaji mfano cha 1000 kiko namba 1 ukichagua bado utapokea msg salio lako halitoshi hata kama kuna salio.
Hawa jamaa wajirekebishe, mi kuna siku nimeweka vocha kama buk 2 hv ili nijiunge bando la chuo cjui nlizubaa wap nakuja kukuta salio halitoshi kuunga bando wamekata kama 450 hv chap. Nikawavutia waya kutaka maelezo wananiambia ulijiunga na huduma ya Soka Letu aisee na cjawah kujiunga na huduma yyte ya ujumbe mfupi. Niliwamaindi balaa toka siku hyo siweki vocha ikae kizembe kwenye line yangu.
Ila yote na yote Vodacom bado ndio mtandao bora kwa hapa Tz.
Kazi inabaki kua kwako..