Aisee VODACOM Mpesa ni janga kubwa sana!!!!
Mnachukueje hela niliyotuma halafu mnasema iko hewani?
Yani niliyemtumia hajapokea na kwangu imetoka. Halafu siwezi rudishiwa mpaka nisubiri masaa 24 na mtu yuko kwenye emergency ya matibabu.
Hivi mnajiona mko sawa kweli!!!?
Hii huduma ya Mpesa tunaomba vyombo husika viifanyie uchunguzi.