Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Samehe bure mkuu wametoka kulipa faini ya bilioni 6.
Rudi nyumbani kumenoga
Mimi kwangu wamerudisha ila wanatoa GB 1 badala ya GB 1.5Hawajarudisha
Nilijaribu nikaitupa fasterNimeamua kuunga mkono na kuwa mzalendo kwa kununua line ya nyumbani, TTCL. Ila sasa najuta, yaaani hiyo 4G mpaka ukae katikati ya mji, kilometa 5 tu nje ya mji hupati hata 2G..!!!. Inasoma E.
Hapa nimemeza panadol nipunguze maumivu ya kichwa yanayosababishwa na matatizo ya hii mitandao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samehe saba mara sabiniSiku chache zilizopita waliondoa kifurushi cha 2500 wakaleta cha 5000.Tukalalamika weeee mwishowe tukaanza kuzoea hiki cha 5000.
Leo nimeingia kwenye menu yao nijiunge cha 5000 nakuta wamekiondoa na matokeo yake wamekirudisha tena cha Tshs 2500 cha wiki tena kikiwa na GB moja tu ya internet.
VODACOM mnakwama wapi ?
Kwanini msiwe mnaweka tu virushi ambavyo vitakua na uwezo wa kukaa hata mwaka bila kuvibadirisha kila baada ya muda mfupi kama mfanyavyo sasa hivi
Badilikeni jamani kama mnatusikia wateja wenu
Siku chache zilizopita waliondoa kifurushi cha 2500 wakaleta cha 5000.Tukalalamika weeee mwishowe tukaanza kuzoea hiki cha 5000.