Vodacom mnaniibia au mimi ndo sijaeleawa?

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
720
Reaction score
1,547
Hello bosses
Hawa Vodacom sijui wananiibia mimi tu, ipo hivi juzi jumamosi nilijiunga bondo la GB 1 la masaa 2
Nikatumia tumia cha kushangaza zilizilipo fika MB 916 kati ya MB 1024 bando likakata sikuelewa sababu
Sasa jana jumapili nikajiunga tena ili nipate uhakika kwa kilichotokea jana jmosi nikajiunga tena BG 1
Baada ya kujiunga nimetumia mpaka zimefika MB 788 nikapata text wameniambia zimebaki MB 150 ambapo ukichukua 788+150=938 au uki add tena mb 23 unapata 961Baada ya mda tena nikashangaa eti kifurushi kimeisha
 

Attachments

  • Screenshot (68).png
    93.9 KB · Views: 24
  • Screenshot (70).png
    279.7 KB · Views: 22
Huo ni mfano tu wa ujambazi unaofanyika! Jaribu na Halotel uone moto wake! Hamna alieko salama ukiacha wateja wa Airtel na TTCL kwa sasa!
 
Nilikuwa natumia wifi yako mkuu nili down series kibao..samahani
 
Voda ni wezi kupindukia sasa hivi ni mara mia turudi TTCL.
 
Vodacom.......kazi ni kwako......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…