Mi nauliza tu,... kuna trick yoyote inayojulikana ambayo inaweza kuongeza speed ya internet ya voda... Kama ulishajaribu ukafanikiwa, plz tupe maujanja...
Inategemea upo eneo gani na unatumia modem model gani. Speed ya vodacom haina tofauti na ya tigo au airtel, kila mtandao una eneo lake ndiyo maana inabidi uwe na modem inayoingia line zote kama ni mtu wa kuhamahama.

Mi nauliza tu,... kuna trick yoyote inayojulikana ambayo inaweza kuongeza speed ya internet ya voda... Kama ulishajaribu ukafanikiwa, plz tupe maujanja... View attachment 123705