Natumia just for normal calls and SMS , na nafikiri mtandao WA voda unajulikana kasi yake .speed internet
Karibuni wadau tufanye kazi kwa matumizi ya nyumbani na maofisini tunafanya installation.
Mahali popote ulipo kikubwa angalau uwe karibu na mtandao au mnara WA voda.