Vodacom free internet kamwe husijaribu

dah! juc kamueni hyo ya bure tu 400kb/s mbona inatosha kaka
 

Labda unakosea settings mana mie ninatumia huku salio likiwemo lakini haliguswi hata kidogo. Vile vile bundle la voda huwa linaisha haraka sana kipindi kabla sijaanza kutumia hizi proxy nilikuwa nikinunua bundle la Spidi7 sawa na 1GB kwa tshs 15000 kwa wiki,
kama ukiingia kwenye Youtube kuangalia mpira online ukimaliza mechi 3 una bahati. Nakushauri endelea kutumia hizo proxy ndio nafuu zaidi.
 
Hahahahahaha teh teh teh teh teh sa kwanini umeamua kununua wakati cha bure kipo au vocha ilikua inawasha inataka kununua bundle... Pole

alimisi ku-fesibuku ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol
 
naombeni mbinu ya kuchakachua modem yangu ya voda. Sirias kwa kweli. Nasikia eatel kuzuri sana. Au modem mpya ya eatel bei gani?
 
moderm ya airtel ni Tshs. 52900 tu.
 
mama wee, yaani 150mb voda wanachaji 3000/- tena kwa siku moja tu, wakati Airtel wanauza 400mb kwa 2500/- tu, halafu kwa mwezi mzima.
wateja wa voda are you normal?
 
mama wee, yaani 150mb voda wanachaji 3000/- tena kwa siku moja tu, wakati Airtel wanauza 400mb kwa 2500/- tu, halafu kwa mwezi mzima.
wateja wa voda are you normal?

...Mkuu kwanini uhangaike kununua bundle za voda wakati proxy zinapiga kazi....tena vizuri tu depending na location uliopo,mfano mimi nilipo spidi mchana ni ya kawaida sana,but night ni nouma,...hizi ni baadhi ya picha jinsi spid ilivyokuwa leo asubuhi,
.


but sio proxy zote,ni baadhi coz kuna proxy nyingine wanakulimit downloading,utaweza ku download kitu kisichozidi 50mb...but kuna nyingine hawakulimit katika kudownlad,
kwa anayetaka maelezo zaidi jinsi hii kitu inavyofanya kazi,tafuta humu humu jukwaa la tech kuna uzi umefafanua viuri
 
Wananchi tuweni OBJECTIVE kidogo. Hizi offers na counter-offers za kila siku zisitupotezee dira. Ukitaka kufanya analysis liyokwenda shule jiulize swali dogo tu:

Je, nikiwa na Sh. 30,000/= naweza pata MB ngapi kwa mwezi kutoka Tigo, Sasatel, Airtel, Voda, Zantel?

...Akili kichwani, maneno kwenye keyboard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…