Ali Mazroon
Member
- Mar 8, 2015
- 25
- 14
Lakini hapa wakina Makamba (waziri ) na TCRA wako wapi ili Kuhakikisha haki yetu sisi wateja inalindwa au inapatikana.Vodacom kazi ni kwako kuibiwa
Nimenunua unlimited bundle ya siku sasa baada ya ku download data vodacom wamenitumia msg hii,You have reached 700MB. Continue surfing at lower speed till expiry date. Monthly UNLIMITED internet bundle at Tsh. 25,000. To buy, dial *149*01#.
Sasa nini maana ya kutwambia wateja kuwa mna vifurushi vya unlimited?
Huu ni wizi mwingine ambao wizara na TCRA zinapaswa ziuone
Mm sijawahi kuwa mteja wa tigo so wizi wa tigo hauwezi kuhalarisha kuwa na wizi wa vodacom ni sahihi, labda u niambie nn maana ya unlimited bundle hapo ndio tuanzie,Nafuu ya hao VODA ambao hata hicho kifurushi hiyo 700MB zikiisha wanakupa uwezo wa kuendelea kutumia Internet kwa speed ndogo lakini TIGO ukinunua kifurushi cha UNLIMITED cha Tsh. 1,000/= cha siku MB 700 wanazotoa zikiisha na ndio inakuwa mwisho kwa wewe kutumia internet hadi ununue kifurushi kingine. sasa kati ya hao VODA na TIGO ni kampuni ipi ambayo ndio wezi hasa juu ya hoja yako?