Voda siwaelewi

Mmmhhh kweli hili nalo neno nami ngoja yangu ninene....eeh bhana hawa wana wa voda wana vioja kweli watufanya sie wana wa vichaa nimevumilia sana toka 2002 mpaka leo nmavoongea lakini sasa maji kwenye shingo yashanikaa sina budi kuhamia nami naridhia miaka kumi na moja ya mateso si haba naombeni airtel mlango kufunguliwa.
 
Mbaya zaidi wameweka tangazo lao la konsistensi kommunikeshen!Wapi?Ila nikipata nauli mjini nitakufuata.
 

Hakuna mtandao wa wizi kama vodacom. Najuta kuifahamu voda.
 
Labda uende Tigo, airtel sikushauri...ni balaa zaidi ya voda! Mi hadi nimelalamika leo.....hawa jamaa ni pasua kichwa nouma
 
vodacom ni wababaishaji kwa hili, imekula kwao.....! Tigo wana kitu cha 990 dak 40, Airtel nao wana kitu cha 1.5 Gb. Bye bye voda

Tigo wana 890/= kwa dk60 na GB1
 
Airtel upuuzi wao kuna baadhi ya web haifungui, nilijaribu kufungua Mzalendo forum zaidi ya ×900 imekataa kufungua, nipo tiGO kwa sasa nao wakiniboa naangalia utaratibu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…