Russia wamechafukwa,hadi TU-160 blackjack imeletwa kutwanga na kupepeta.hii ndege supersonic and the largest combart aircraft in the world ndo kwa mara ya kwanza tangu iundwe inashiriki vitani
Russia wamechafukwa,hadi TU-160 blackjack imeletwa kutwanga na kupepeta.hii ndege supersonic and the largest combart aircraft in the world ndo kwa mara ya kwanza tangu iundwe inashiriki vitani
Hizi ndege amezitumia pale tu Kremlin ilipotangaza kuwa ndege yao iliyoanguka huko Egypt ilishambuliwa na bomu lililoingizwa ndani na mtandao wa ISIS. pamoja na hizi Tu-160 pia Tu-95 nazo zinashiriki pamoja na cruise missiles kutoka Mediterranean sea kushambulia sehemu mbali mbali za ngome ya ISIS
mkuu hata kubwa Lao joka kuu osama bin laden komandoo wa USa walipomvamia chumbani kuitaka roho yake alijificha nyuma ya mke wake mwanamke akaonekana jasiri Osama akawa mbwa koko wakati alikuwa akiwatuma watumishi wake kwenda kuuwa watu ikibidi kujilipua.