Viwanja gani tena vya Moshi na Arusha mkuu? Moshi ambayo ndo Kilimanjaro mna tayaru KIA na Arusha wana uwanja wao pale mzuri tu na juzijuzi umepanuliwa kwa sasa ndege za ATR, Dash 8 na Fokker zinatua vizuri bila shida. Wewe unataka nini tena ama unataka watu wa Lindi, Ruvuma, Singida waandamane ndo ujue kama wametengwa