Habari ndugu zangu wa jf napenda kuwafahamisha kwamba viwanja nilivyo navyo ni vya uhakika umeme upo sehemu zingine mpaka huduma za maji zimefika barabara ni nzuri ukubwa ni mita 20 kwa 25 bei kuna vya ml.3 ; 4 ;5 nakuendelea kulingana na mahitaji yako maeneo ni mbezi luis' msakuzi makabe mpigi magoe kwembe n.k . 0713686329au deomsolo.dm@gmail.com
Viwanja havina hati unapata tu ile ya serikali za mtaa na mhuri wa mjumbe au waweza andikiana mahakani au kwa mwanasheria wako! Mimi ni mwezeshajo na nimewawezesha wengi kupata makazi kupitia NIPASHE matangazo madogomadoho
Kuhusu kwembe eneo la mradi linajionyesha na eneo la makazi linajionyesha ondoa hofu maeneo huwa mimi mwenyewa huwa najiridhisha kwanza ili kuondoa migogoro