viwanja vizuri vinauzwa kigamboni

viwanja vizuri vinauzwa kigamboni

ChiefSkin

Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
83
Reaction score
25
KIGAMBONI TOANGOMA
Viwanja vipo kuanzia milioni nne na nusu na kuendelea

1. Mita za mraba (meter square) = 845, bei milioni 18
2. Mita za mraba (meter square) = 750, bei milioni 15
3. Mita za mraba (meter square) = 780, bei milioni 13
4. Mita za mraba (meter square) = 400, bei milioni 4,5
5. Nusu eka, bei milioni 15

Vyote vipo Kigamboni Toangoma kilomita 1 kutoka barabara kuu ya lami.

MIKWAMBE KWA MIZENGO PINDA

kiwanja kipo mikwambe kwa Mizengo Pindakina na kina ukubwa wa mita 750, bei ni milioni 9

Kwa mawasiliano zaidi tuandikie au tupigie 0654229460 au whatsapp 0755040485

Viwanja vipo katika mpangilio na gari inafika mpaka kwenye viwanja husika.

PIA UNAWEZA KUTUTAJIA ENEO LOLOTE KIGAMBONI NA TUTAWEZA KUKUTAFUTIA ENEO LA UKUBWA WOWOTE ULE.
 
Hakuna mashamba ni viwanja tu? Kwa Mizengo Pinda ni jina tu au ndiko kwake? Tujue kwani kukaa na wakubwa kuna faida zake au siyo?
 
Teh teh teh mzee Mukaruka bhana , you are right lkn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom