Viwanja viwanja vinauzwa

Viwanja viwanja vinauzwa

oriflametz

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
47
Reaction score
12
viwanja vya makazi vinauzwa.. vimeshapimwa utapatiwa na hati miliki...
ukubwa.. sqm 450
bei..milioni 4,kwa walimu unaweza pata kwa mkopo
mahali....karibu na bagamoyo..
kwa maelezo zaidi..
 
mh, huwa hamuaminiki ninyi unaweza nunua, unajenga ghafla unaona greda linakuja unaambiwa umejenga kwenye kiwanja wazi.
 
mh, huwa hamuaminiki ninyi unaweza nunua, unajenga ghafla unaona greda linakuja unaambiwa umejenga kwenye kiwanja wazi.
vimepimwa na watu wa ardhi wenyewe na vina hati..maeneo ya wazi yameshatengwa pia..
 
Karibu na bagamoyo ndio wapi? Watu wawe makini, unaweza uziwa eneo la mtu au eneo la kanisa na matapeli siku hizi wamekuwa wengi na wana mbinu kibao!
 
Karibu na bagamoyo teh teh teh ipo mkoa gani hiyo karb na bagamoyo
 
Kidomole, mapinga, kiwangwa, kisumbi cha mwene, msata, njia panda ya saadani ,
Kelege, kiaraka au baobab
 
IMG_1479588618.258812.jpg


Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,


Bei: 4.5M.

Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.

Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora.
Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana. Unajenga na kuhamia Leo leo bila kusubiria Umeme na Maji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom