Viwanja vinauzwa

Viwanja vinauzwa

Nick Kendrick

Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
20
Reaction score
0
Viwanja vinauzwa maeneo ya Mbezi Luis, kimoja kinaukubwa wa metre square 20 upana na 40 urefu milioni 15 mazungumzo yapo... na chengine kina ukubwa wa metre square 30 upana na 40 urefu milioni 18. Umeme ushafika na barabara imefika mpaka kwenye kiwanja.

0719592188/ 0782578576
Tafadhali (serious buyer only) mnunuzi tu ndiyo anastaili kupiga simu na dalali haitajiki.
 

Attachments

  • 1437734162907.jpg
    1437734162907.jpg
    173.8 KB · Views: 145
Upana wa square meter 20 ndio ukoje mkuu?
Kila Kazi Ina watu wake.
Huyu Mleta Uzi hajui anafanya nini . usije ukakuta Ka-kiwanja kenyewe hakana huo ukubwa ambao yeye hajui hata kuuweka kimaandishi, How pathetic!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom