Nick Kendrick
Member
- Jul 18, 2015
- 20
- 0
Viwanja vinauzwa maeneo ya Mbezi Luis, kimoja kinaukubwa wa metre square 20 upana na 40 urefu milioni 15 mazungumzo yapo... na chengine kina ukubwa wa metre square 30 upana na 40 urefu milioni 18. Umeme ushafika na barabara imefika mpaka kwenye kiwanja.
0719592188/ 0782578576
Tafadhali (serious buyer only) mnunuzi tu ndiyo anastaili kupiga simu na dalali haitajiki.
0719592188/ 0782578576
Tafadhali (serious buyer only) mnunuzi tu ndiyo anastaili kupiga simu na dalali haitajiki.