Viwanja vinauzwa

Viwanja vinauzwa

Micky1989

Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
31
Reaction score
0
Kimoja kipo kibaha kingine kipo vikawe kama unaenda bagamoyo . plot selling in a kibaha and vikawe place. Kibaha lina heka 2 kilometa 7 kutoka road up to shamba la vikawe lina heka tatu na pia kuna nyumba lipo near na road kabisa.price la kibaha ni million 18 na la vikawe side ya Bagamoyo price ni million84.contact with me by this no 0763950393
 
Aiseee....
bie ipo hivyo kibaha. 18m, 7km frm main road?
kumbe nilikuwa natoa bure eneo langu.l nimetangaza nauza eka 2 (mita 70 kwa 140) kwa shs 12m. 3.5km frm Morogoro road, Madafu.
siuzi tena!!!
 
Km 7 kutoka moro rd ina mana hiyo sehemu haina jina kibaha kubwa ????????????? Vikawe ipi mana sisi tz nzima ipo kichwani pale kwenye kamji ?????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom