Viwanja vinauzwa

Viwanja vinauzwa

Mansully

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
10
Reaction score
1
Habari zenu humu ndani kuna viwanja viwili ukubwa wa 20x20 Chanika buyuni kimoja mil4 kingine mil3.5 aliyeteyari tuwasiliane kwa no.0654791088
 
Habari zenu humu ndani kuna viwanja viwili ukubwa wa 20x20 Chanika buyuni kimoja mil4 kingine mil3.5 aliyeteyari tuwasiliane kwa no.0654791088

Km ngapi kutoka brbr kuu!kimepimwa mkuu na je sio vile vinavyogeuka bahari ya hindi wkt wa mvua!nilipita maeneo hayo wkt wa mvua nyumba zilikuwa zinaonekana mapaa tu mkuu.
 
Vipo maeneo mazuri ila kama km 3 toka road.Boda boda 1000.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom