Viwanja vinauzwa

Viwanja vinauzwa

King Jr

Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
47
Reaction score
8
Viwanja vinauzwa vipo Kibaha mjini kata ya Pangani vinauzwa 4000 sh kwa square meter vinaanzia 20 kwa 20 na hadi vya 20 kwa 43 kwa 30.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba hizi 0754/0715 297298 karibuni

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Pangani ni umbali gani toka barabara ya Morogoro, Tufafanulie juu ya miundombinu iliyopo,Natanguliza shukrani
 
Mi sielewi hyo square meter. I wish ungetaja bei yake 2 kwa ujumla ningefurahi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom