Viwanja vinauzwa

Viwanja vinauzwa

mberege rukiko

Senior Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
171
Reaction score
137
Viwanja vinauzwa vipo kitonga msongola dar es Salaam viwanja vipo karbu na barabara ya lami iundanishayo mbagara na chanika umiliki wa barua ya serikali ya mtaaa unakabidhiwa karbun sana
 
Bei??? Halafu nenda shule ukajifunze jinsi ya kuandika tangazo la biashara. Nyanoko!!
 
Eleza namna ya kufika viwanja vilipo na contacts za wahusika.
 
Kama unatoka mbagara unapanda gar za kwenda chanika unashuka kitonga pia njia ya unaweza kupita njia ya kivule unapanda gar pale banana had flemu kumi kivule hapo unapanda gar za kwenda msongola zen kitonga
 
Kwanini usiandike vizuri ili tangazo lako lijiuze lenyewe kuliko kufanya mtu afikirie unamaanisha nini kusema gar,zen
 
Nafanya kulirekebisha kaka nmeandika kwa makosa mengi nitaya sahihisha Asante kwa ushaur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom