Viwanja vinauzwa Vikawe, njia ya Bagamoyo

code4494

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
819
Reaction score
1,233
Viwanja vinauzwa eneo la Vikawe njia ya kwenda Bagamoyo karibu na shule ya Baobab.

Umbali mfupi kutoka barabarani, ekari moja mill 22.

Kingine urefu mita 60 kwa 30 mill 15.

Kwa mawasiliano ni PM
 
Vimepimwa au ni squarter..? Nasikia maeneo hayo kuna wezi sana wa viwanja na wanashirikiana na serikali za mitaa. Ukinunua kiwanja ukajkaa miezi mitatu hujaenda kukiangalia unakutana na watu wengine karibia wanne wameuziwa kiwanja chako manaanza kupambana..Mimi ilinitokea na sina hamu tena ya kununua kiwanja ambacho hakijapimwa hasa hayo maeneo.
 
siwezi kukataa moja kwa moja..maana kila sehemu wezi wapo ila tokea nimeanza kuwauzia watu viwanja huku hakuna hata mmoja aliewahi kupata matatizo..na hv ninavyokuambia ninasimamia ujenzi wa nyumba ambayo ni ya mteja wangu..pole sana ndugu yangu...
 
Vimepimwa au ni squarter..? Nasikia maeneo hayo kuna wezi sana wa viwanja na wanashirikiana na serikali za mitaa. Ukinunua kiwanja ukajkaa miezi mitatu hujaenda kukiangalia unakutana na watu wengine karibia wanne wameuziwa kiwanja chako manaanza kupambana..Mimi ilinitokea na sina hamu tena ya kununua kiwanja ambacho hakijapimwa hasa hayo maeneo.

Ni kweli kabisa. Kiwanja cha jirani yangu vivyo hivyo walimfanyia. Walikiuza kwa Mara ya pili wakishirikiana na Serikali ya Mtaa kisa eti aliacha Muda bila ya kupafanyia usafi. Wakakiuza kwa Mtu Mwingine kwa Bei ya Juu sana tofauti na ya Mwanzo.

Alipokuja wakamwambia kuwa watamtaftia kwngine au wamrudishie hela yake.

Hii imetokea hapo Mingoi. Baada ya Daraja la Bunju na Bagamoyo.

Watu ni wadhulumati Balaa.
 
hao watu wanatakiwa wafikishwe ktk mikono ya sheria...kwa ushauri wangu..ni kabla ya kununua kiwanja ni vema kuandikishana na pia kuwepo mashahidi...vile vile kuweka alama za mipaka..hapo nadhan litakuwa suluhisho tosha
 
Vimepimwa au ni squarter..? Nasikia maeneo hayo kuna wezi sana wa viwanja na wanashirikiana na serikali za mitaa. Ukinunua kiwanja ukajkaa miezi mitatu hujaenda kukiangalia unakutana na watu wengine karibia wanne wameuziwa kiwanja chako manaanza kupambana..Mimi ilinitokea na sina hamu tena ya kununua kiwanja ambacho hakijapimwa hasa hayo maeneo.

Yaani unanitonesha kidonda ndugu nami niliuziwa miaka miwili iliyopita hadi leo kesi ipo serikali za mitaa, wameshanipa viwanja 3 kila wanachonipa kinamgogoro, nikawaambia wanirudishie pesa yangu hadi leo sijapata Roho inaniuma sana nikikumbuka jasho langu ila naendelea kufatilia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom