mpendaMaendeleo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 279
- 35
Goba ndio Tegeta?
karibu na kawawa road inayoanzia wazo mpaka kimara tembonijee vimepimwa?na hiyo sehemu ungeielezea zaidi,ni karibu na kitu gani,kama barabara
karibu na kawawa road inayoanzia wazo mpaka kimara temboni
Viko goba tegeta 'a' size mita 20*20 2.8million, 22*22 3million
22*25 3.5million,40*20 5.6million, 44*22 6million na 25*44 7million
viko tambarare na umeme uko jirani.
(kwa taarifa zaidi piga 0718334726)
hakuna mgogoro wowote huyu bwana ni mpuuzi na mnafiki nimemsamehe bure kwa kuwa hajui alisemalo?
bado havijapimwa
Mheshimiwa usiwadanganye wadau humu ndani.Mimi ndiye yule bwana niliekupigia simu Jumatatu, na mala baada ya kuongea na wewe niliamua kutumia njia za kiusalama kufuatilia ki undani juu ya uhalali wa eneo hilo. Na katika kuhakikisha zaidi niliweza kupata namba ya simu ya mwenyekiti wa mtaa wa eneo husika, nae alituhakikishia ukweli kwamba hilo eneo lina mgogoro. Tafadhari uwe na huruma na watanzania wenzako waliomo humu ndani,maana utapeli kwa wananchi wenzako (ambao nao wanatafuta hela kwa hali ngumu) hautakufikisha mahala pazuri. Inafaa utambue kwamba jambo unalofanya ni kinyume cha sheria, kwakuwa hilo eneo kwa sasa limeshikiliwa na mahakama,hupaswi kufanya mauzo ya aina yeyote.hakuna mgogoro wowote huyu bwana ni mpuuzi na mnafiki nimemsamehe bure kwa kuwa hajui alisemalo?
Mheshimiwa usiwadanganye wadau humu ndani.Mimi ndiye yule bwana niliekupigia simu Jumatatu, na mala baada ya kuongea na wewe niliamua kutumia njia za kiusalama kufuatilia ki undani juu ya uhalali wa eneo hilo. Na katika kuhakikisha zaidi niliweza kupata namba ya simu ya mwenyekiti wa mtaa wa eneo husika, nae alituhakikishia ukweli kwamba hilo eneo lina mgogoro. Tafadhari uwe na huruma na watanzania wenzako waliomo humu ndani,maana utapeli kwa wananchi wenzako (ambao nao wanatafuta hela kwa hali ngumu) hautakufikisha mahala pazuri. Inafaa utambue kwamba jambo unalofanya ni kinyume cha sheria, kwakuwa hilo eneo kwa sasa limeshikiliwa na mahakama,hupaswi kufanya mauzo ya aina yeyote.
Viko 7km kutoka kimaramwisho size
mita 20*20 3mil, 20*25 3.5mil, 20*40 6mil
na 25*40 7mil.
(vyote viko tambarare na vinafikika
kwa gari,umeme uko jirani.)
piga 0715055577/0769055577
mpendaMaendeleo ni wa kuogopwa kama ukoma!Viko goba tegeta'a' size mita 20*20 2.8million, 22*22 3million
22*25 3.5million,40*20 5.6million, 44*22 6million na 25*44 7million
viko tambarare na umeme uko jirani.
(kwa taarifa zaidi piga 0718334726)
Mheshimiwa usiwadanganye wadau humu ndani.Mimi ndiye yule bwana niliekupigia simu Jumatatu, na mala baada ya kuongea na wewe niliamua kutumia njia za kiusalama kufuatilia ki undani juu ya uhalali wa eneo hilo. Na katika kuhakikisha zaidi niliweza kupata namba ya simu ya mwenyekiti wa mtaa wa eneo husika, nae alituhakikishia ukweli kwamba hilo eneo lina mgogoro. Tafadhari uwe na huruma na watanzania wenzako waliomo humu ndani,maana utapeli kwa wananchi wenzako (ambao nao wanatafuta hela kwa hali ngumu) hautakufikisha mahala pazuri. Inafaa utambue kwamba jambo unalofanya ni kinyume cha sheria, kwakuwa hilo eneo kwa sasa limeshikiliwa na mahakama,hupaswi kufanya mauzo ya aina yeyote.
https://www.jamiiforums.com/matanga...-vya-bei-nafuu-sana-vinauzwa-goba-matosa.html
tar 24/10/2012
tar 10/12/2012
mpendaMaendeleo ni wa kuogopwa kama ukoma!