Viwanja vinauzwa (surveyed plots)

Viwanja vinauzwa (surveyed plots)

malewa

Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
15
Reaction score
4
Viwanja vinauzwa (surveyed plots), vipo Km 20 kutoka Kigamboni, na Km 2 toka barabara ya lami; Mtaa wa Malimbika karibu na ECO VILLAGE DEGE; umeme upo karibu (800 meters); maji unachimba kisima kifupi tu na ni mazuri. Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia square meter 900 - 2900. Bei ni 20,000 kwa square meter. Piga +255 784 383 062. Wahi maana vimebaki vichache. Dalali hatakiwi.
 

Attachments

  • IMG_0214.jpg
    IMG_0214.jpg
    146 KB · Views: 242
Kodi ya serikali ukumbuke kulipa ukisha uza kiwanja.Yaani Square 1 sh20000 unafikiri hizi ni enzi za Vasco Da Gama?mirija yote imekatwa hakuna mtu wa kuchezea pesa siku hizi
 
wewe sio dalali! Tuje tukuone chumba namba ngapi hapo wizarani/halmashauri kama sio dalali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom