Viwanja vinauzwa (surveyed plots), vipo Km 20 kutoka Kigamboni, na Km 2 toka barabara ya lami; Mtaa wa Malimbika karibu na ECO VILLAGE DEGE; umeme upo karibu (800 meters); maji unachimba kisima kifupi tu na ni mazuri. Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia square meter 900 - 2900. Bei ni 20,000 kwa square meter. Piga +255 784 383 062. Wahi maana vimebaki vichache. Dalali hatakiwi.