Hizo namba ndio za mkurugenzi wa halmashauri au afisa ardhi wa wilaya?
Za maafisa ardhi
Viwanja vinauzwa vya ukubwa tofauti maeneo ya mkundi na kiegea Morogoro, vimepimwa na vina document zote na zinatolewa na Manispaa ya Morogoro, serious buyer, call: 0718 513571 na 0785 853297.