Viwanja vinauzwa mbezi msakuzi

Viwanja vinauzwa mbezi msakuzi

flora kiwori

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
9
Reaction score
2
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa mbezi msakuzi 30000 kwa sqm moja malipo kwa miezi 10.kwa maelezo zaidi njoo pm.
 
Mkuu Mbezi Msakuzi ni mbezi ipi..? Ya Kimara..?
Pia naomba kujua bei na Ukubwa wa kiwanja please.
 
Mkuu Mbezi Msakuzi ni mbezi ipi..? Ya Kimara..?
Pia naomba kujua bei na Ukubwa wa kiwanja please.
Ndio ni mbezi ya kimara mkuu,kiwanja tunaanza kupima 20*20 na square meter 1 ni 30000 tu na malipo ni kwa miezi 10 kwa taarifa zaidi nicheki 0625990885.asante
 
Mkuu naona hujaelewa maana ya vyuma vimekaza. Bei iko juu sana kwa Mbezi ya Kimara. Anyway kwangu mimi asante ngoja waje..!
 
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa mbezi msakuzi 30000 kwa sqm moja malipo kwa miezi 10.kwa maelezo zaidi njoo pm.
In box ya nn bhana ww..? Yani umetangaza biashara hadharani alafu watu waje inbox..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom