Viwanja vinauzwa Mbezi Dar es salaam

Viwanja vinauzwa Mbezi Dar es salaam

nkolaniwe

Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
24
Reaction score
1
Vipo mbezi malamba mawili na kongowe mwisho toangoma bei kuanzia mil 2 na kuendelea ukubwa tofauti havijapimwa unakatiwa kipande chako kulingana na pesa yako.
 
Hivyo vya mil 2 toangoma vina size ya mita ngapi kwa ngapi? pls usinipe jibu kwa hatua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom