Viwanja vinauzwa maeneo ya tabata segerea dsm

Viwanja vinauzwa maeneo ya tabata segerea dsm

solon

Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
12
Reaction score
1
Viwanja vyenye nafasi ya kutosha vinapatikana tabata segerea dsm , bei zake ni kuanzia tshs. 13million. karibu sana
 
Viwanja vyenye nafasi ya kutosha vinapatikana tabata segerea dsm , bei zake ni kuanzia tshs. 13million. karibu sana

Tafadhali hebu tupe habari kamili. Segerea sehemu gani? Vina ukubwa gani? Bei inazungumzika? Vina hati? Unaweza kutupa list angalau vitano na bei zake vikiwa pia vinajibu maswali hayo hapo juu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom