njobz 4 real
Member
- May 22, 2013
- 7
- 2
plot zinapatikana kinyerezi
meter 20 kwa 25 (square meter 500) na kuendelea
kwa tsh 7,000,000/=
0652-111081
meter 20 kwa 25 (square meter 500) na kuendelea
kwa tsh 7,000,000/=
0652-111081
plot zinapatikana kinyerezi
meter 20 kwa 25 (square meter 500) na kuendelea
kwa tsh 7,000,000/=
0652-111081
Sishauri mtu akanunue viwanja kinyerezi kwa sasa, mm ni muhanga wa viwanja vya kinyerezi kesi bado ipo mahakamani, vimeshapimwa lakini wanunuzi walikuwa sio wazawa wakawa ni wageni, wameenda mahakamani kulalamikia kitengo cha ardhi cha Ilala
hujaeleweka mkuu. kwahyo wanunuzi hawatakiwi kuwa wageni kivipi?