Viwanja vinauzwa Kinyerezi

Viwanja vinauzwa Kinyerezi

Juma72

Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
5
Reaction score
1
Viwanja vinauzwa vipo Kinyerezi Kibaga B karibu na Shule ya Msingi ya Academy For Future. Gharama ya square meter moja ni 30,000/=.

Kwa Mawasiliano, Piga: 0713 854 130 , 0758 433 462 na 0683 076 985
 
Hupati mtu, squre meter 1,000 kwa million 30?

I believe unaifaham sehem yenyewe anayoiongelea mkuu thats y umemwambia straight foward...am not that familiar with that place

Lakini anaweza bahatisha/pata watu mkuu...maana apa apa dar kuna maeneo ya hadi 1million shs per 1 sq metres...so u never know
 
Hupati mtu, squre meter 1,000 kwa million 30?

Atapata wengi tu.
Huko Kinyerezi wakati vilipotangazwa kuuzwa na serikali 2011/12 viliuzwa sh. 10,000/sq meter.
So sio ajabu sahivi mlanguzi akaweka dau lake.
 
Atapata wengi tu.
Huko Kinyerezi wakati vilipotangazwa kuuzwa na serikali 2011/12 viliuzwa sh. 10,000/sq meter.
So sio ajabu sahivi mlanguzi akaweka dau lake.

Nilimbishia kwa kuwa nina ushahidi.
 
labda ajiuzie, sq 1 elfu 30. unless in seehmu inayofaa ku invest kitu kama shule

Hapana mkuu

Iyo ni bei ya kawaida tuh ya plot tena for residential purspose only....maana kwa plot ya sq metres 700(fair plot size 4 res.) x 30000 inakuja milioni 21...ambayo kwa kiwanja cha nyumba ya kuishi chenye approved survey na hati safi na kilicho accesible na karibu na barabara(sio barabarani)kwa tabata kinyerezi ni kawaida...na inaweza kuwa ndogo somtymz
 
hivi posta kuna viwanja nitafutie.

Watu wamejenga hadi kando ya ikulu juzi juzi ghorofa reeeefu bila hata kuzingatia kanuni za kiusalama...
Viwanja vipo sehemu yoyote kwa tz hii....hata pale ilipojengwa IKULU pale magogoni kuna watu wanakiona ka kiwanja wazi(undeveloped)kinachohitaji site clearance ya kawaida kabisa...ka unataka njoo inbox
Ata apo ulipojenga nyumba yako panaweza kuwa kiwanja watu wakiamua
 
Huna akili wewe.... Hicho kiwanja kwanza hujaingia gharama yoyote, ardhi umeikuta ipo duniani bureeeeeeeee wewe unauza bei za kisenge kisenge tu.

Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Huna akili wewe.... Hicho kiwanja kwanza hujaingia gharama yoyote, ardhi umeikuta ipo duniani bureeeeeeeee wewe unauza bei za kisenge kisenge tu.

Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Mkuu una hasira hadi unatukana...
Inaelekea hauna nyumba alafu unataman kujenga ila uwezo 0..
 
Hizi ni bei za viwanja moshi na Arusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom