Viwanja vinauzwa kigamboni eneo la Mwembe mdogo kuna heka moja,nusu heka na 20 kwa 35 bei nzuri kwa aliyeyari ani pm tuzungumze
Kazi njema
mkuu biashara ya mtandao haiendi hivyo Fanya weka bei kabisa hapa wenye uhitaji na viwanja tujufuate huko pm maana bei unaweza kutushawishi pia .sasa nikufuate pm wakati wauza milion 50 au 100?? wakati sina uwezo huo??
au wewe Dalali mkuu
funguka hapa kiwanja ukubwa na robo heka bei kiasi kadhaa.au ekari 1 au sijui miguu kadhaa kwa kadhaa kiasi flani ili angalau MWENYE kukalibia na bei yako hiyo anaweza kukutafuta huko pm KWa maelewano zaidi