Viwanja vinauzwa - kibaha mjini

Activits

Senior Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
195
Reaction score
51
Wahi viwanja vitano (15) vilivyopimwa, makao makuu ya mkoa wa Pwani 25Km kutoka Dar es salaam.

Mahali: Kwa mathias Njia ya kuelekea Msangani

Huduma za jamii kuna umeme na maji hapo hapo.

Ukubwa : kuanzia square mita 700 mpaka 900

Bei: 1sqr meter = 7500. Negotiatable. pamoja na hati kwa jina lako

Note: Hakuna udalali unaongea na mmiliki.

Mawasiliano: 0755 939001


Wahi sasa kwani vimebakia vichache kati ya vingingi vilivyokuwepo.
 
Nitajuaje kwamba wewe siyo dalali?
 
nitakupa document za umiliki na upimaji wa viwanja hivyo ambavyo vinaonesha jina langu, ondoa shaka kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…