Viwanja vinauzwa Goba

Viwanja vinauzwa Goba

Elba

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
382
Reaction score
104
Kwa anayehitaji kiwanja cha kujenga nyumba, sqr meter 20 x20, vinapatikana maeneo ya Goba, vipo maeneo mazuri na vimenyooka (havina mabonde) bei iko poa sana. 3.5M. Piga 0717329166
 
Picha,umbali kutoka barabara kubwa,umeme,maji,viwanja au kiwanja kina documents gani,etc.
 
Picha,umbali kutoka barabara kubwa,umeme,maji,viwanja au kiwanja kina documents gani,etc.

Umbali kutoka kimara mwisho ni 6km,kutoka barabara kuu ni mita 200, umeme upo jirani mita 200. document zote zipo.isipokuwa Hakijapimwa ardhi ! Pia ukitaka kupimiwa, nitakupa msaada wa kukuelekeza njia za kupita mpaka kupimiwa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom