Ninataka kukiona mkuu.Kimepimwa
Bado vipoViwanja vipo km 2 kutoka njia ya lami ya Massana-Mbezi
Kimoja kina sq mita 980 kimenyooka mil 22(negotiable)
Chengine ni sq mita 240 mil 4(negotiable)
Mawasiliano
0719573444 Whatsapp/CallView attachment 884908View attachment 884909View attachment 884910
Mkuu naona kila uzi unavamia na kuweka bandiko lako. Wewe kwa muono wako unaona bandiko limetimia kabisa na umejiridhisha hakuna details muhimu ulioacha kuweka?Habari
Nauza kiwanja chenye hati Kigamboni - Changani beach
Size - Sqm 900+
Bei - 9 Milioni
Mawasiliano - 0753066664
Mkuu kwani kuna ubaya ukiondoa picha ni nn kingine kimekosekana ushauri pia napokeaMkuu naona kila uzi unavamia na kuweka bandiko lako. Wewe kwa muono wako unaona bandiko limetimia kabisa na umejiridhisha hakuna details muhimu ulioacha kuweka?
Vimekosekana vingi,Mkuu kwani kuna ubaya ukiondoa picha ni nn kingine kimekosekana ushauri pia napokea