Viwanja vinauzwa eneo la madale.

Viwanja vinauzwa eneo la madale.

sweveta

Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
13
Reaction score
4
Viwanja vinauzwa eneo la madale urefu 20 na upana 22, vipo katika hali nzuri na vina mimea ya matunda kama miembe, michungwa na minazi. Mawasiliano: 0713261208/0787909045
 
Weka bei, je vina hati ? wewe ni dalali?anyway umetoa habari nusu
 
Bei ya hivyo viwanja ni @ 3.5m havina hati ila vipo katika eneo zuri na tulivu.
 
Madale ipo mkoa wa dar es salaam wilaya ya kinondoni, mbele ya tegeta kiwanda cha twiga cement.
 
Mmmh huko viwanja vingi vimechukuliwa vhukuliwa atakayenunua awe makini usiuziwe eneo la mtu, me nusra nipigwe changa la macho.Tahadharini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom