Viwanja vinauzwa bunju b vina hati

Viwanja vinauzwa bunju b vina hati

badspender1

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
74
Reaction score
6
Viwanja vinauzwa Bunju B Block 20. Viwanja vya
mradi. Vipo Viwili Kimoja kina sqmt 1553. Bei
60m
Kingine kina sqm 2339. Bei 90m
Vyote vina Hati.
Contact: 0765 178 494.
 
Hizo ni bei za enzi ya JK, ngoja tusubiri maana kitambo tu vitapatikana kwa bei zake halisi!
 
Kwa sasa hiv hakuna wa kununua kiwanja kwa bei hiyo ndug. Kwan wengine wlikuwa wakinunua kwa bwi hizo ili kuficha pesa za wiz. kwa sasa hakuna wenye hizo pesa. Labda ukute kuna masamaki atanunua.
 
Hizo ni bei za enzi ya JK, ngoja tusubiri maana kitambo tu vitapatikana kwa bei zake halisi!
Uko sawa mkuu.. tumpe Uncle Magu muda kidogo, watu wamegeuza viwanja kama mitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom