Viwanja vinauzwa Bunju A

Mais

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
56
Reaction score
12
Viwanja vinauzwa maeneo ya Bunju ‘A’ (Kiondo area). Vipo kilomita 3 toka barabara ya Bagamoyo. Bei ni kama ifuatavyo: Ukubwa unaanzia 20 X 20 (Tshs. 12mil.) hadi 25 X 30 (Tshs. 16 mil). Ukihitaji vipimo vya kiwanja kiongezeke kutokana na matakwa yako, inawezekana pia. Maelezo zaidi piga: 0684 975514
 
kulipa kwa kuwekeza inawezekana mpaka mtu anamaliza deni?kila mwezi 2m
 

Vina hati au ndio shoto-kulia?
 
Kila kitu kipo sawa kwenye hivyo viwanja. Hela yako tu.
 

Vina hati?
 
Mkuu nahitaji nivione
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…