Viwanja vinauzwa Beko, Kunduchi

Viwanja vinauzwa Beko, Kunduchi

MKONGORO

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
345
Reaction score
306
Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Kunduchi Eneo La Meko Hatua Chache Toka Barabara Ya Lami Ya Mwenge Tegeta Kina Ukubwa Wa 25*35 Bei Mil 10

Kwa Mazungumzo Zaidi Nitakukutanisha Na Mwenyewe Nicheck 0655544791.
 
Last edited:
je kipo mita ngapi kutoka hifadhi ya bara bara.. isije ikawa mnataka kukisukuma baada ya hii operationa kuanza ya vunja vunja
 
je kipo mita ngapi kutoka hifadhi ya bara bara.. isije ikawa mnataka kukisukuma baada ya hii operationa kuanza ya vunja vunja

Mkuu Kiwanja Kipo Umbali Wa Kutosha Toka Barabara Kuu ni Kama Mita Mia Nne Viwanja Vya Mpira wa miguu vinne.
 
Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Kunduchi Eneo La Meko Hatua Chache Toka Barabara Ya Lami Ya Mwenge Tegeta Kina Ukubwa Wa 25*35 Bei Mil 11. Kwa Mazungumzo Zaidi Nitakukutanisha Na Mwenyewe Nicheck 0655544791

Mkuu kimepimwa?
 
Kimepimwaa.na je huko tayar tuende ardhi tukapime uhalali wa kiwanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom