Viwanja vinauzwa (eka 2) wami dakawa (umbali wa kama 0.5km kutoka barabara kuu ya dar-mwanza) bei ni 450,000 (laki nne na nusu) kwa kila eka. Havina hati ila vinatambulika serikali ya kijiji.
Kwa mawasiliano 0652528977
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.