Kwa kweli kule ni kuzuri na ardhi zimepangwa vizuri. Hata ukinunua 10x10 unapata njia ya Gari kufika kwako.Hivi kule mkuu ni kuzuri ehh....
Maana huwa naona kunataka kuja fanana kama Kwa mromboo....
Ikifika 7m unijulishe ila isiwe chini ya barabara ya EA.Mimi nina 30x30 kwa 15m Terrat karibu na Shule ya Intel
Aliyemuelewa atlas copco anieleweshe.Nane unachukua,kipo kimoja kesho naenda kukilipia tukijaliwa uzima
Kipi hujaelewa hapoAliyemuelewa atlas copco anieleweshe.
Sijakuelewa hapo post no 15Kipi hujaelewa hapo
ukame mno, udongo sio mzuriHivi kule mkuu ni kuzuri ehh....
Maana huwa naona kunataka kuja fanana kama Kwa mromboo....
Nane unachukua,kipo kimoja kesho naenda kukilipia tukijaliwa uzima
Room ya kujadili ipo Mkuu...but the fluctuation rate is not more than 10% of the sales amount.Bei ni fixed au kuna room ya kujadili kidogo?
Barabara ya East Africa inapita karibu na uwanja wa Ndege Kisongo Arusha...ambayo ipo umbali wa takriban 6Km.Ikifika 7m unijulishe ila isiwe chini ya barabara ya EA.
Unamdanganya mwenzako kule ujenzi ni chumba kimoja ikizidi ni chumba na sebule.. Nimepazunguka mpaka nikafika MkonooKwa kweli kule ni kuzuri na ardhi zimepangwa vizuri. Hata ukinunua 10x10 unapata njia ya Gari kufika kwako.
Mkuu...elewa kwamba, dhamani ya Ardhi inategemeana na sehemu/eneo ilipo. Kuna viwanja unaweza kuuziwa hata zaidi ya 10Bilion...kama ipo mjini labda...coz unaweza pandisha gorofa kadhaa hapo...na bado hukuna hasara kwasababu ni kitu cha kudumu. Investment returns depends on time & bussiness or invested assets.Bei ya viwanja itarudi kuwa ya chini hadi maendeleo ya nchi miaka mingi ijayo ibadilike. Niliwahi kuona nyumba ya kawaida sana pale uppanga inauzwa na MTU akapewa billion 10(10,000,000,000/_) tz shs. Sasa kama sio kutakatisha fedha ya mihadarati unajenga kitu gani cha kurudisha hiyo fedha? Tutarudi kwenye uhalisia huko tuendako. Siwaonei wivu wenye hizo hela ila natoa picha tulikofikia hapo nyuma kidogo. Na wala sina nia kusupport deflation hii tunayopitia sasa hivi,
Heeh!! Kukame wapi??¿¿ Sehemu ambayo ina maji, umeme na barabara 24hrs ndo kukame?? Au unaongelea kwa Morombo?ukame mno, udongo sio mzuri
Kwa taarifa kwa Umma...kama ukija kuona ukakuta udongo si mzr, hzo Milion 10 mm nitakupa zingine...yaan sehemu ambayo Kiwanda kimewekeza Mabilioni ya pesa ndo sio nzuri...huu ni upupu Ndugu zangu...ignore it plz.ukame mno, udongo sio mzuri
I think to my opinion, you needed to be send to Court to prove your statement beyond all reasonable doubt!!ukame mno, udongo sio mzuri
naona umemaind sana, hii biashara ya udalali huiwezi kama huna hoja, Arusha yote tunaifahamu, hivi maeneo hayo utalinganisha naNgulelo, kwa Mrefu na Meru?I think to my opinion, you needed to be send to Court to prove your statement beyond all reasonable doubt!!
Mim sio dalali...futa kauli yako. Sio kila mtu anayekuja huku kuuza viwanja ni dalali. Afu...cjui kama unaufahamu wa kuita eneo jangwa!! Yaan...unipe tabia za eneo kuitwa jangwa...ndio nitajua USOMI wako na uelewa wa maeneo ya A to Z upo vzr. Yaan...wazungu waje wawekeze sehemu ya jangwa...isio na maji...au unamaanisha nini. Wew dalali nn????naona umemaind sana, hii biashara ya udalali huiwezi kama huna hoja, Arusha yote tunaifahamu, hivi maeneo hayo utalinganisha naNgulelo, kwa Mrefu na Meru?
narudia..hilo eneo ni jangwa haijalishi kuwa maji ya bomba yanapatikana
Ishu kubwa sio kubishana hapa...hutaki kaa kimya huna hela, wengine wenye nazo na mawazo CHANYA watakuja...watakagua...wakiridhikaaa...wanalipaaaa.naona umemaind sana, hii biashara ya udalali huiwezi kama huna hoja, Arusha yote tunaifahamu, hivi maeneo hayo utalinganisha naNgulelo, kwa Mrefu na Meru?
narudia..hilo eneo ni jangwa haijalishi kuwa maji ya bomba yanapatikana