Kila kimoja Mkuu...Karibu!!Mil 10 kwa muuonganiko wake kwa pamoja au kila kimoja chenye 20x25 million 10
Arusha ni jiji la watu wenye akili, ni bora waishi arusha waoze meno kuliko wakae huko waoze akili!!Nije kuishi Arusha watoto wangu waoze meno?
Hahaaaaah...umemjibu vzr sana Mkuu...NichimuArusha ni jiji la watu wenye akili, ni bora waishi arusha waoze meno kuliko wakae huko waoze akili!!
Labda nadhani...tuna comment kwa mtu ambaye hajawahi fika Arusha. Nimetembea miji mingine kama Dar, Pwani, Znz na Tanga kwa ujumla ni joto sana. Mji wa Arusha kdgo ina nyakati tofauti...joto lake ni 25-30°C Sept-February...17-23°C March-July. Kwa familia...safi sana!!Arusha ni kazi tuu
Namie Nampa 3m hapo yan tayar ashauza viwanja viwili bado kimoja tuuBei ghali sana sana hiyo,chukua 3m kwa kiwanja
Bei ghali sana sana hiyo,chukua 3m kwa kiwanja
Wakuu kwa hilo eneo hiyo ni Bei nzuri hata kama ina udalali ni kidogo sana. Eneo limeendelea sana.Namie Nampa 3m hapo yan tayar ashauza viwanja viwili bado kimoja tuu
Hivi kule mkuu ni kuzuri ehh....Mimi nina 30x30 kwa 15m Terrat karibu na Shule ya Intel
Nashuru Mkuu kwa kuwapa ukweli wale wasiolifahamu hilo eneo...hata Milioni 7 huwezi kupata. Viwanja na magari ni vitu viwili tofauti...hata ukiangalia ktk mfumo wa ASSETS...viwanja ni FIXED ASSETS.Wakuu kwa hilo eneo hiyo ni Bei nzuri hata kama ina udalali ni kidogo sana. Eneo limeendelea sana.