Viwanja vilivyopimwa

Viwanja vilivyopimwa

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
114
Nauza viwanja PUNA kigamboni ni vilivvyopimwa.
Hati unaweza pewa msaada wakuchukuliwa kwa makubaliano maalum ndani ya miezi 2 unakuwa umepata hati.

Viwanja vinaukubwa wa 600sqm hadi 1000sqm.

Vipo 1KM kutoka bahari ilipo.
Barabara kubwa nzuri pia za mtaa zimechongwa.
umeme tayari upo.

Bei ni 10000sqm

Mawasiliano 0627911500/0714227532
 
Yani unatoka zako ofisini posta unakwenda mkuranga nyumbani..
So kama huna kiwanja hadi sasa utaishi kwenye nyumba za kupanga hadi ufe?

Kutoka posta hadi Bunju ni 40km but sijui kama unalijua hilo?

Pili kuna wafanya kazi wa kigamboni municipal, kiwanda cha cement kimbiji, wafanya kazi wa viwandani kigamboni.

Tatu wafanya kazi wengi post wameopt kuishi kigamboni pia.

All in all watanzania never new wanataka nini vichwani ni Tomaso. Hata sinza ilipopimwa mtu alisema nitoke upanga kwenda sinza.

I can see akili yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom