Natafuta kiwanja chenye ukukwa wa nusu heka kiwe kwenye barabara kubwa kubwa mfano kama pale kwa MATHIAS kuelekea Filbert bayi school kuanzia kibamba hadi kongowe.
Vya bei shs milioni moja vipo?
me nahitaji kilomita moja toka kwa matias kuelekea ndani,kikipatikana nijulishe kina ukubwa gani na bei.
Viwanja hivi viko msangani barabara hiyo ya filbet bayi ila ni km 6 toka kwa matias
Natafuta kiwanja chenye ukukwa wa nusu heka kiwe kwenye barabara kubwa kubwa mfano kama pale kwa MATHIAS kuelekea Filbert bayi school kuanzia kibamba hadi kongowe.
Ukubwa wa kiwanja na bei mkuu!!!!!!!!!!!!!