Viwanja Moshi Kilimanjaro,

Viwanja Moshi Kilimanjaro,

Fafanua vizuri moshi sehemu gan, size na bei watu tuje pm. Tangazo halijakamilika
Kijij jirani na kiwanda cha kokakola, ukubwa kuanzia mita 20 kwa 20 umeme, maji vipo
 
Fafanua vizuri moshi sehemu gan, size na bei watu tuje pm. Tangazo halijakamilika
Kijiji jirani na kiwanda cha kokakola Bonite, ukubwa kuanzia 20 kwa 20 mita, bei maelewano,
 
Tutaelewana vp wakati hakuna bei ya kuuzia!!?
 
Unafanya biashara kienyeji saanaa kama sio kihuni
 
Kijiji jirani na kiwanda cha kokakola Bonite, ukubwa kuanzia 20 kwa 20 mita, bei maelewano,
Kijiji jirani akina Jina taja jina la kijiji
Mtaa
Mawasiliano yako
Ukubwa wa Viwanja mnapima kuanzia ukubwa gani
Bei ya Viwanja kiasi gani
Kutokana na ukubwa wake
Mawasiliano yako ya uhakika
Ili kuondoa utata watu kukuhisi tapeli
 
Kijiji Chekereni weruweru, ukubwa mita 20 kwa 20,mawasiliano njoo privite message, au ujui kutumia sim njinsi ya kuingia pm?
 
Kijiji jirani akina Jina taja jina la kijiji
Mtaa
Mawasiliano yako
Ukubwa wa Viwanja mnapima kuanzia ukubwa gani
Bei ya Viwanja kiasi gani
Kutokana na ukubwa wake
Mawasiliano yako ya uhakika
Ili kuondoa utata watu kukuhisi tapeli
Kwanza mm si dalali,
 
Ungeweka wazi kila kitu hapa ndio watu waje pm.Au ni viwanja vyenye mgogoro unataka kutuuzia kisirisiri?Mimi nimevutiwa na title ila content imenifanya nisikuamini.

Ongezea nyama kwenye uzi mkuu.
 
Kijiji jirani akina Jina taja jina la kijiji
Mtaa
Mawasiliano yako
Ukubwa wa Viwanja mnapima kuanzia ukubwa gani
Bei ya Viwanja kiasi gani
Kutokana na ukubwa wake
Mawasiliano yako ya uhakika
Ili kuondoa utata watu kukuhisi tapeli
Nakuunga na mwenyewe, ukipenda kunipa asante sawa, usipopenda sawa, sitegemei ununue ili niishi, nahela y kula, sina dhiki hizo mm
 
Sasa km ulijua ni siri hadi tuje pm basi ungewatumia watu hukohuko pm!emptset kbs
 
Acha biashara za kihuni mkuu weka mambo wazi. Pm kuna nini tunatongoza au?
 
Nakuunga na mwenyewe, ukipenda kunipa asante sawa, usipopenda sawa, sitegemei ununue ili niishi, nahela y kula, sina dhiki hizo mm
Hii sio attitude ya biashara.. Unadhani azam hana hela ya kula mpaka akubembele na mziki kwenye matangazo unywe azam cola?! Heshimu biashara

Hujui unatamuinterest nani.. Atafanya nn... Ku a wawekezaji watakaowanufaisha hata wadogo zako Sikh za usoni au vitukuu kama wote kwenye ukoo wenu kwa sasa mna hela ya kula.

Wajibu watu vizuri. Kuwa mvumilivu. Weka bei, state kama vimepimwa, taja mahali vilipo, ukubwa Wa viwanja, mawasiliano hii pm haina maana..biashara yoyote hata ya kuanzia 50k tsh kuwapa mawasiliano ya simu watu kunaongeza credibility.. Kwann waje pm just kujua bei?! Huoni ni usumbufu hata kwako?! Weka bei anayekuwa interested na anahisi anamudu bei atakupigia au kuja huko pm kwa hatua zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom