T The_Analyst JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 243 Reaction score 86 Feb 20, 2013 #1 Wasalaam wana-JF, Nataka kununua shamba la hekari nne Mkoani Pwani, Mkuranga/Vikindu. Wadau kuna mtu ambaye anajua gharama kwa hekari ni shingapi (market value ya heka) kwa sasa. Natanguliza shukrani.
Wasalaam wana-JF, Nataka kununua shamba la hekari nne Mkoani Pwani, Mkuranga/Vikindu. Wadau kuna mtu ambaye anajua gharama kwa hekari ni shingapi (market value ya heka) kwa sasa. Natanguliza shukrani.
T The_Analyst JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 243 Reaction score 86 Feb 20, 2013 Thread starter #2 Wadau pleeze yani hakuna hata mmoja mwenye idea za bei ya mashamba pande za huko???? Na msata je?
K kimanga91 Member Joined Oct 22, 2013 Posts 10 Reaction score 1 Jan 16, 2014 #3 The_Analyst said: Wadau pleeze yani hakuna hata mmoja mwenye idea za bei ya mashamba pande za huko???? Na msata je? Click to expand... NENDA RUFIJI MUHORO UTASTAAJABU, MASHAMBA NI BEI RAHISI MNO, MIMI NIMENUNUA SHAMBA LA HEKA 20 KWA SHILINGI LAKI TANO TU.:majani7::majani7:
The_Analyst said: Wadau pleeze yani hakuna hata mmoja mwenye idea za bei ya mashamba pande za huko???? Na msata je? Click to expand... NENDA RUFIJI MUHORO UTASTAAJABU, MASHAMBA NI BEI RAHISI MNO, MIMI NIMENUNUA SHAMBA LA HEKA 20 KWA SHILINGI LAKI TANO TU.:majani7::majani7:
bank Senior Member Joined Jan 9, 2011 Posts 158 Reaction score 24 Jan 16, 2014 #4 Huko mkuranga Kiwanda cha azam kishaharibu huko.bei zimepanda utafikiri ni DSM.Mfano plot ya 20x20 wanakwambia 1.5m hadi 2m mashamba nenda Ruvu au Rufiji au morogorgoro ndio bei rahisi sana
Huko mkuranga Kiwanda cha azam kishaharibu huko.bei zimepanda utafikiri ni DSM.Mfano plot ya 20x20 wanakwambia 1.5m hadi 2m mashamba nenda Ruvu au Rufiji au morogorgoro ndio bei rahisi sana
KIM JONG JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 213 Reaction score 57 Jan 16, 2014 #5 Luna thread moja inahusu mashamba katika wilaya ya Kisarawe. Unaweza muuliza mleta mada kama unaweza pata huko kwa bei poa.
Luna thread moja inahusu mashamba katika wilaya ya Kisarawe. Unaweza muuliza mleta mada kama unaweza pata huko kwa bei poa.