J Jimmy99 Member Joined Apr 14, 2022 Posts 18 Reaction score 5 Apr 17, 2022 #1 Habari wandugu.Kama Tangazo linavojieleza tunauza viwanja vilivyopimwa kibaha Misugusugu. Eneo Linafaa kwa biashara na makazi pia Huduma ya shule, maji na umeme upo Kwenda kuona ni Bure Kila siku Tuwasiliane kwa maelekezo zaidi 0620175964
Habari wandugu.Kama Tangazo linavojieleza tunauza viwanja vilivyopimwa kibaha Misugusugu. Eneo Linafaa kwa biashara na makazi pia Huduma ya shule, maji na umeme upo Kwenda kuona ni Bure Kila siku Tuwasiliane kwa maelekezo zaidi 0620175964
K KANAL Senior Member Joined Dec 26, 2012 Posts 112 Reaction score 66 Apr 17, 2022 #2 Bei ni muhimu mkuu kabla ya Ku pigiana simu
J Jimmy99 Member Joined Apr 14, 2022 Posts 18 Reaction score 5 Apr 18, 2022 Thread starter #3 Bei ni 3.5M mkuu wangu Na kwenda eneo la tukio ni Bure ili ujiridhishe na kiwanja unachohitaji.
MWEMBEKIUNO JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 1,877 Reaction score 2,531 Apr 18, 2022 #4 Ukubwa wa kiwanja..?
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 3,088 Reaction score 4,089 Apr 18, 2022 #5 Jimmy99 said: Bei ni 3.5M mkuu wangu Na kwenda eneo la tukio ni Bure ili ujiridhishe na kiwanja unachohitaji. Click to expand... Matangazo yako huwa ni Incomplete huwa uweki bei ya kiwanja wala ukubwa wa kiwanja chenyewe,ni hilo,jitahidi uwe unaweka then mtu atakutafuta tu
Jimmy99 said: Bei ni 3.5M mkuu wangu Na kwenda eneo la tukio ni Bure ili ujiridhishe na kiwanja unachohitaji. Click to expand... Matangazo yako huwa ni Incomplete huwa uweki bei ya kiwanja wala ukubwa wa kiwanja chenyewe,ni hilo,jitahidi uwe unaweka then mtu atakutafuta tu
J Jimmy99 Member Joined Apr 14, 2022 Posts 18 Reaction score 5 Apr 21, 2022 Thread starter #7 kiwori anne said: Kl ngp toka road Click to expand... Nusu kilomita kutoka lami. Kituo Cha kushukia unapotoka mjini kinaitwa miomboni shule ( au shule ya msingi Misugusugu)
kiwori anne said: Kl ngp toka road Click to expand... Nusu kilomita kutoka lami. Kituo Cha kushukia unapotoka mjini kinaitwa miomboni shule ( au shule ya msingi Misugusugu)
J Jimmy99 Member Joined Apr 14, 2022 Posts 18 Reaction score 5 Apr 21, 2022 Thread starter #8 MWEMBEKIUNO said: Ukubwa wa kiwanja..? Click to expand... Ukubwa wa kiwanja ni 23 kwa 20 mkuu