Viwanja vinauzwa Mbweni kulingana na mahitaji yako, bei 30m na kuendelea, pia kwa wale wanaohitaji maeneo makubwa kwa ujenzi wa shule ukanda wa njia ya Bagamoyo yopo. kwa mawasiliano 0773 944 944
mkuu nenda mwenyewe jionee eka kule bagamoyo unapata kwa mil.2 bei ya juu hata hayo maeneo ya kiromo,nzinga,kerege fika bmoyo town then make your own investigation

Jihadhari sana na mashamba ya Bagamoyo mkuu. Matapeli wameshakuwa wengi mitaa hiyo kwa sasa. Kuna jamaa waliuziwa shamba wakajipanga kwenda kupanda miti walipofika wakaambiwa eneo hilo lina mwenyewe. Kumbe walipigwa changa la macho wameuziwa na matapeli. Kuweni makini