Viwanja kwa bei Nafuu

Viwanja kwa bei Nafuu

gcolyvas

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
27
Reaction score
16
Habari za Leo!,

One Realtor Co. ni kampuni inayotoa huduma zinazohusiana na mali
zisizohamishika (Real Estate) Jijini Dar es Salaam na mikoa Jirani.

Tunapenda Kukutaarifu kwamba, kutokana na changamoto zinazojitokeza
katika hatua za kuchagua, kukagua na kununua viwanja vya makazi,
Tumerahisisha zaidi mchakato huu kwa kutoa nafasi hii kwa hatua nne
rahisi.

1. Jisajili:
Ni rahisi, kwa kufuata link hii https://goo.gl/5NEpIu utaweza
kuainisha aina ya kiwanja unachohitaji, eneo pamoja na makadirio ya
bajeti yako ikiwa ni pamoja na kujaza jibu lako la swali la siri kwa
ajili ya kuhakiki taarifa zako kisha muwakilishi wetu atakupigia simu
kuhakiki taarifa kwa kukuuliza swali lako la siri.

2. Hakiki kwa kutembelea kiwanja chako:
Baada ya kujisajiri na kuhakiki taarifa, utapata nafasi ya kuona
ramani za mradi husika chini ya usaidizi wa muwakilishi wetu, kulipia
fomu kama ilivyoelekezwa kwenye fomu husika na kupanga siku maalum ya
kutembelea viwanja chaguliwa

3. Chagua namna ya Malipo:
kuna aina tatu za malipo, cash , Installment payment na Mkopo.
Tutashauriana kulingana na pendekezo lako pamoja na makubalianao ya
mradi husika.

4. Maandalizi ya Hati na Ukabidhi.
Baada ya hatua zote tatu za Awali, One Realtor Co. itasimamia
upatikanaji wa hati yako ya umiliki wa kiwanja pamoja na kukupa msaada
wa ushauri wa kwanza wa ujenzi wa nyumba yako BURE!

Kumbukumbu,

Pamoja na ujumbe huu, tumeambatanisha miradi mitatu ambayo iko tayari
kwa umiliki ambayo ni African Palms- Kigamboni, Yale Yale-Puna
-Kigamboni na Kibaha Maili Moja.

Tafadhari Kuwa Huru kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi, pia tunatoa
huduma mbalimbali kama mauzo na ukodishaji wa nyumba, ofisi, viwanja
vya biashara nakadhalika.

Asante.

Contacts 0622100020
 
mkipata watu 300 hata kama hawajanunua viwanja , mtakuwa hamjambo 300x15,000.00 -, tsh 4,500,000.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom