Viwanja Kigamboni opposite na Avic town

kawombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
17,659
Reaction score
21,388
Kuna viwanja vinauzwa maeneo ya kigamboni vinatizamana n AVIC TOWN
umbali kutoka city center ni 26 KM.na kutoka njia kuu y kimbiji kwenda kwenye viwanja ni 3 KM TU.Vipo vilivyo pimwa vitatu tu
Square meters 400
Square meters 500
Square meters 600
Kila square meters 1 = 10000
Kipo pia kimoja cha miguu 20 kwa 20 na kina kisambusa chake mwisho utapatiwa.BEI 2 million mazungumzo yapo pia.tuwasiliane kupitia PM kwa mwenye mahitaji.
 
Asante kwa taarifa,vina hati na je miundombinu kama umeme upo?
 
Asante kwa taarifa,vina hati na je miundombinu kama umeme upo?

Maji unachimba kisima maji ukichimba hayako mbali sn kwenda chini.na kuhusu umeme uko mbali wa kama 2 kilometer. Kwa sasa
 

Asanteni sana.
Hiki cha miguu 20 kwa 20 tayri na kisambusa chake kimechukuliwa.
 
Navyojua mm kuanzia nadhani gezaulole kulia kama unatokea kigamboni ni eneo la jeshi mpaka unapokaribia kimbiji
 
Navyojua mm kuanzia nadhani gezaulole kulia kama unatokea kigamboni ni eneo la jeshi mpaka unapokaribia kimbiji

Oh okay kama unafahamu shamba la sophia simba heka zaidi ya 40 mbona ziko karbu n hv viwanja. Je n yy ni jeshi??? Kama usemavyo.na siyo yy tu yuko upande huo.hakuna kitu kama hicho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…